Mlima Athos

Kwa kweli safari yangu ya kwanza mlimani ilikuwa Enigma…. Skuweza kuelewa chochote!!! Ilikuwa na maajabu mengi na miujiza michache… tutazunguza kwa Margery na mapana… nini kilitokea wapi na lini toka safari ilivoanza na mpaka mwisho ulivokuwa ikiwemo mbivu na mbichi za mlimani ….. usisite kutufuatilia ….

Angalia... video clip hapa <a href="https://www.youtube/mlimaAthos.mp4">YOUTUBE </a>

We Value Your Feedback (0)





No comments posted yet. Be the first to share your thoughts!