THIS IS NON PROFIT PLATFORM ESTABLISHED SOME YEARS AGO IN TANZANIA it opperates PERPENDICULAR and PARALLEL with the Community. REGARDLESS ON THAT, THIS WEBSITE HAS BEEN BUILT AS DEDICATION FOR THIS PLATFORM BUT ALSO FOR PERSONAL BLOGING.
Toka kipindi tumeingia ulingoni na kutambulika rasmi tumekuwa tukifanya mambo mengi sana ikiwemo kampeni mashuleni, kuhusu masuala ya kuhamasisha taaluma, kampeni za utunzaji wa mazingira zikiwemo matawi kama ya CoS na BESE AWARDS, hatulali tunaendelea na jitihada ya kampeni za kujitolea na KURUDISHA SHUKRANI kwenye jamii iliyotufikisha hapa. Na kampeni nyingi zilifanyika kama vile za kupelekea mahitaji watu wenye uhitaji kama vile vituo vya watoto yatima n.k. waanzilishi wa Polyhood tulisema hatulali na hatutalala maana ndoto yetu ni kutumikia watu mpaka siku zetu za mwisho. Tunaomba jamii itushike mkono ili tuweze kuwa daraja kwa wengine
USIJIULIZE sana kuhusu jina na nembo yetu, maelezo pale kwenye VISSION yanasanifu nembo yetu na maelezo pale kwenye MISSION yanasanifu nembo yetu. kama utakuwa hujaelewa zaidi kuhusu nembo na jina letu usisite kutuandikia IT wetu atakujibu kwa ufasaha mtupu, vilevile tungependa kupata
maoni yako. Sanjari na hayo, tunakabirisha watu wote ambao mgependa kujumuika na sisi ama kutushika mkono kwa namna
moja ama nyingine.
Thank you for visiting our website. We hope you enjoy exploring our platform. Learn More about POLYHOODTZ. Please visit our daily updates page and leave your comment. we are Happy to Have you here Today FEEL AT HOME.❤️